Next‑gen technology

Kuunda mustakabali wa kidijitali Tanzania

Suluhisho za kisasa, salama na za bei nafuu kwa biashara, shule na taasisi.

Wasiliana Nasi Miradi Yetu
5+
Miradi Imekamilika
10+
Wateja Wameridhika
24/7
Msaada wa Kiufundi

Huduma Zetu

Tunatoa suluhisho za teknolojia za kiwango cha kimataifa

Mifumo Maalum

Custom software kwa mahitaji yako – ERP, shule, maghala.

Usimamizi wa Biashara

App Inventory: simamia bidhaa, mauzo, wateja na wadaiwa.

Mifumo ya Shule (SAS)

Wanafunzi, walimu, matokeo, malipo – inakuja hivi karibuni.

Usimamizi wa Maghala

Warehouse Management System – kufuatilia bidhaa kwa usahihi.

Pride Garage AI

Kusimamia karakana na mauzo ya magari kwa akili bandia.

Msaada 24/7

Timu yetu iko tayari kukusaidia wakati wote.

Miradi Yetu

Angalia baadhi ya mifumo tuliyoishatengeneza na inayotengenezwa

App Inventory

Mfumo kamili wa kusimamia biashara – tayari kutumika.

InatumikaDemo

SAS School System

Usimamizi wa shule kwa teknolojia ya kisasa.

Inatengenezwa

Pride Garage AI

Karakana + mauzo ya magari kwa AI.

Inatengenezwa

Warehouse Management

Kusimamia maghala kwa ufanisi.

Inatengenezwa
Adamu Sadiki Ramadhani

Mwanzilishi

Adamu Sadiki Ramadhani

Founder & CEO

Nina umri wa miaka 24, nina maono makubwa ya kuleta mageuzi ya teknolojia Tanzania na Afrika. Nimejifunza mwenyewe, nimejituma, na ninaamini kuwa teknolojia inaweza kubadilisha maisha. Pride Digital Solutions ni ndoto yangu ya kuunda suluhisho za kisasa, za bei nafuu na zinazowafikia wote.

“Teknolojia siyo ndoto, ni chombo cha kuleta mabadiliko. Ninataka kuwa kiongozi katika mageuzi ya kidijitali Tanzania.”

Wasiliana Nasi

Tupate maelezo, maoni au usaidizi

Simu

062 042 7214

Barua Pepe

info@pridedigital.co.tz

Location

Dar es Salaam, Tanzania